• mazingira
  • michezo
  • ujasiriamali
  • dira ya dunia
  • siasa
  • waasi

ict master

  • program zote
  • tekinologia
  • mazingira
  • elim
  • boko haram
  • habari
    • alshababu
    • kimataifa
    • kitaifa
    • burundi
    • rwanda
    • alshababu
  • video

Monday, April 25, 2016

Jino kubwa la nyangumi lapatikana Australia

By Suxiya Chinese language center on 7:54:00 AM
Jino hilo lilipatikana mwezi Februari
Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la kwanza kwamba nyangumi wakubwa hatari sana waliishi mbali na Amerika.
Mkusanyaji wa visukuku Murray Orr alipata jino hilo lenye urefu wa sentimeta 30 (inchi 12) ufukweni Beaumaris Bay karibu na mji wa Melbourne mwezi Februari.
Alilikabidhi kwa makumbusho ya Victoria, ambayo yalianza kulionesha kwa umma Alhamisi.
Inakadiriwa kwamba nyangumi mwenye jino hilo aliishi zaidi ya miaka milioni tano iliyopita. Alitoka kwa aina ya nyangumi ambao siku hizi hawapatikani duniani.
Nyangumi hao wanaaminika kuwa watangulizi wa nyangumi wakubwa wa sasa wajulikanao kwa Kiingereza kama "sperm whales".
Nyangumi wakubwa baharini

Hadi kupatikana kwa jino hilo Beaumaris, visukuku vya nyangumi wakubwa vilikuwa vinapatikana pwani ya magharibi ya mabara ya Amerika Kusini na Amerika Kaskazini.
Makavazi hiyo imesema nyangumi mwenye jino hilo huenda alikuwa na urefu wa mita 18 na uzani wa tani 40.
Newer Post Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • uundaji wa roboti
    Roboti ni mashine inayotekeleza shughuli peke yake bila kuendeshwa na binadamu . Kuna tofauti kati ya nchi na nchi kuhusu kiwango na ugumu...
  • Video ya Boko Haram yaonesha wasichana wa Chibok
    Wanachama wa vuguvugu la Bring Back Our Girls waliandamana mjini L...
  • Tanzania: Simba yachinjwa kombe la Shirikisho
    ...
  • Well come in talanta group olasity Kati arusha Tanzania we produce good instruments for water management like ports. Tank ect
                                                         tok kwa maelezo piga sm 0759894855
  • Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015
    Wagombea watano wa tuzo ya BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa mjini Johannesburg, Afri...
  • The best hidden features in Windows 10's major update
    Share on Facebook (2,710) Tweet Share Pin Microso...
  • UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHAURA
        Tunzaji wa kumbukumbu za biashara yako ni muhimu sana kwani mali bila daftari basi hupotea bila habari ...
  • aina za robot
    Leo robots ni kutumika katika kila uga: sekta ya viwanda, jeshi, nafasi ya utafutaji, usafirishaji na matumizi ya tiba. Ni kwa saba...
  • FIFA yatishia kuipiga marufuku Nigeria
    Shirikisho la kandanda duniani limetishia kuipiga marufuku Nigeria kutoka kwenye mashindano yeyote ya kimataifa iwapo haitamrejesha afi...
  • Jino kubwa la nyangumi lapatikana Australia
    Jino hilo lilipatikana mwezi Februari Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la ...

Follow Us on Facebook

Blog Archive

  • ►  2017 (3)
    • ►  May (3)
  • ▼  2016 (86)
    • ►  June (2)
    • ►  May (26)
    • ▼  April (50)
      • DIRA YA DUNIA ALHAMISI 28.04.2016
      • dira dunia
      • yemi amegusa wangapi ?
      • je ya linex imekugusa?
      • Wenger:Arsenal ilipoteza taji la ligi nyumbani
      • Trump achekwa kwa alivyotamka Tanzania
      • Magufuli: Polisi sharti wajirekebishe
      • Mazungumzo ya amani ya Burundi yaahirishwa
      • Raia wa Burundi waendelea kulitoroka taifa lao
      • Benki ya Chase yafunguliwa tena Kenya
      • Dola milioni 800 za IS zaharibiwa na Marekani
      • Rwanda yawaondosha raia wake Zambia
      • nyangumi aonekana pembezoni mwa fukwe za coco bichi
      • Jino kubwa la nyangumi lapatikana Australia
      • Al-Shabab aliyejiunga na IS anaswa Somalia
      • Salamu TMK - Mfuko Official Video
      • Atolewa kwenye ndege kwa kuongea Kiarabu
      • Raia waliolazimika kutoka nje ya mahakama baada ...
      • Machar afuta mpango wa kurejea Juba
      • Filamu nyingine ya Avatar kuongezwa
      • Boko Haram wavamia kambi ya jeshi Nigeria
      • Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia
      • UN: Burundi inawatesa wapinzani wake
      • Mkuu wa shirika la UN amshutumu Trump
      • Tetemeko la pili laikumba Kumamoto, Japan
      • Sudan Kusini yajiunga na Afrika Mashariki
      • ''Karibu niwe mlipuaji wa kujitoa mhanga''
      • Video ya Boko Haram yaonesha wasichana wa Chibok
      • ...
      • Video; ERICK OMMONDI
      • UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHAURA
      • utunzaji wa kumbukumbu
      • Ndege za Marekani zaua al shabab Somalia
      • Mulipuko wa homa ya manjano DRC
      • Roboti kuchukua kazi za raia Australia
      • aina za robot
      • FIFA yatishia kuipiga marufuku Nigeria
      • Tanzania: Simba yachinjwa kombe la Shirikisho
      • UEFA: Man City kuikabili PSG
      • Watu 5 wauawa Ruyigi Burundi
      • uundaji wa roboti
      • Papa Francis kutoa tamko muhimu kuhusu ndoa
      • Tanzania na Rwanda zafungua ukurasa mpya
      • Mamba mkubwa auawa Florida
      • Ted Cruz amshinda Trump mchujo Wisconsin
      • US na China kushirikiana dhidi ya Korea Kaskazini
      • The History of Computers
      • history of sd card
      • Secure Digital
      • contact us facebook phone no
    • ►  March (8)
  • ►  2015 (22)
    • ►  December (8)
    • ►  November (14)

Followers

 
  • Followers

  • Total Pageviews

    Sparkline
  • Subscribe

  • Labels

    • alishababu
    • bokoharam
    • burudani
    • burundi
    • dira ya dunia
    • elimu
    • HABARI
    • islamik state
    • kimataifa
    • kitaifa
    • MATUKIO
    • mazingira
    • MICHEZO
    • program zote
    • roboti
    • ruanda
    • SIASA
    • TEKNOLOJIA
    • ujasiriamali
    • VIDEO
    • waasi

Copyright © 2012 News Magazine Theme. Designed by Templateism