Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram .
Suala
lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya
kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu
unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. |
0 comments:
Post a Comment