![]() |
Idadi ya watu wanaoteswa nchini Burundi imeongezeka maradufu. |
Umoja wa mataifa unasema kuwa katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza mwaka huu takriban watu 400 wameripotiwa kukamatwa na vyombo vya dola na kisha kuteswa..
![]() |
Zeid Ra'ad Al Hussein anasema kuwa mawakala wake wamerekodi visa 345 za mateso na dhulma dhidi ya watu wanaokisiwa kuwa wapinzani nchini Burundi. |
![]() |
Add caMachafuko yalianza nchini Burundi rais Pierre Nkurunziza alipotangaza nia yake ya kuwania muhula wake wa tatu . ption |
Wale wanaokamatwa na kuteswa mara nyingi wanasema kuwa wanapitia dhulma hiyo ndani ya vituo vya idara ya usalama wa taifa na kijasusi ya Burundi.
![]() |
Hadi kufikia sasa takriban watu 400 wamethibitishwa kufariki |
![]() |
Rais Pierre Nkurunziza |
Hadi kufikia sasa takriban watu 400 wamethibitishwa kufariki huku zaidi ya watu laki mbili u nusu wakilazimika kutorokea mataifa jirani kwa hofu ya kuzuka mapigano mapya.
0 comments:
Post a Comment