• mazingira
  • michezo
  • ujasiriamali
  • dira ya dunia
  • siasa
  • waasi

ict master

  • program zote
  • tekinologia
  • mazingira
  • elim
  • boko haram
  • habari
    • alshababu
    • kimataifa
    • kitaifa
    • burundi
    • rwanda
    • alshababu
  • video
Showing posts with label alishababu. Show all posts
Showing posts with label alishababu. Show all posts

Monday, April 25, 2016

Al-Shabab aliyejiunga na IS anaswa Somalia

By Suxiya Chinese language center on 7:48:00 AM
Hassan Mohamed alijiondoa al-Shabab mwishoni mwa 2015
Kamanda wa kundi la al-Shabaab aliyejiunga na kundi linalojiita Islamic State nchini Somalia amekamatwa na maafisa wa usalama nchini humo.

Hassan Mohamed Siad ambaye pia hujulikana kama Hassan Fanah alikamatwa Jumapili baada ya maafisa wa ujasusi wa Somalia kufanya operesheni katika nyumba moja mtaa wa Kahda.

Vyombo ya habari nchini Somalia vinasema alikuwa anajificha katika mtaa huo kutoka wa wapiganaji wa al-Shabab.

Serikali ya Somalia ilikuwa imeahidi zawadi ya $2,000 kwa mtu ambaye angetoa habari za kusaidia kukamatwa kwake.

Kamanda huyo alijiunga na kundi la Islamic State mwishoni mwa mwaka 2015.

Serikali ya Somalia inamtuhumu kwa kuhusika katika mashambulio dhidi ya wanajeshi wa Somalia na vikosi vya Umoja wa Afrika (Amisom) mjini Mogadishu.
Read More
Older Posts
Subscribe to: Posts (Atom)

Popular Posts

  • UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHAURA
        Tunzaji wa kumbukumbu za biashara yako ni muhimu sana kwani mali bila daftari basi hupotea bila habari ...
  • The best hidden features in Windows 10's major update
    Share on Facebook (2,710) Tweet Share Pin Microso...
  • Wa-Mexico wachoma mfano wa 'Trump'
    Wa-Mexico wachoma mfano wa 'Trump' Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kit...
  • utunzaji wa kumbukumbu
    Ungana nami katika kukuletea makala hii muhimu, naamini itakua na mchango mkubwa kwako mjasiriamali na mfanyabiashara, pia hata kwa yule am...
  • Atolewa kwenye ndege kwa kuongea Kiarabu
    Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa Iraq katika jimbo la California nchini Marekani anasema kuwa alitolewa kutoka kwenye ndege ya shirika ...
  • history of sd card
    Secure Digital From Wikipedia, the free encyclopedia "SDHC" redirects here....
  • UEFA: Man City kuikabili PSG
    Mechi za Marudiano za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutac...
  • Sudan Kusini yajiunga na Afrika Mashariki
    Rais Kiir amesema Sudan Kusini imejiunga na jumuiya sahihi Rais Kiir amesema Sudan Kusini imejiunga na jumuiya sahi...
  • Mwanamke wa Senegal ateuliwa katibu mkuu Fifa
    Add caption Ni mara ya kwanza mwanamke kuteuliwa katibu mkuu Fifa Kwa mara ya kwa...
  • Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia
    Korea Kaskazini ilifanyia majaribio bomu la haidrojeni Januari mwaka huu Korea K...

Follow Us on Facebook

Blog Archive

  • ▼  2017 (3)
    • ▼  May (3)
      • Wakristo 23 wa kanisa la Coptic wauawa wakienda ka...
      • Trump azuru Israel chini ya ulinzi mkali
      • Rais wa Marekani Donald Trump amesema karibuni...
  • ►  2016 (86)
    • ►  June (2)
    • ►  May (26)
    • ►  April (50)
    • ►  March (8)
  • ►  2015 (22)
    • ►  December (8)
    • ►  November (14)

Followers

 
  • Followers

  • Total Pageviews

    Sparkline
  • Subscribe

  • Labels

    • alishababu
    • bokoharam
    • burudani
    • burundi
    • dira ya dunia
    • elimu
    • HABARI
    • islamik state
    • kimataifa
    • kitaifa
    • MATUKIO
    • mazingira
    • MICHEZO
    • program zote
    • roboti
    • ruanda
    • SIASA
    • TEKNOLOJIA
    • ujasiriamali
    • VIDEO
    • waasi

Copyright © 2012 News Magazine Theme. Designed by Templateism