• mazingira
  • michezo
  • ujasiriamali
  • dira ya dunia
  • siasa
  • waasi

ict master

  • program zote
  • tekinologia
  • mazingira
  • elim
  • boko haram
  • habari
    • alshababu
    • kimataifa
    • kitaifa
    • burundi
    • rwanda
    • alshababu
  • video

Friday, May 26, 2017

Wakristo 23 wa kanisa la Coptic wauawa wakienda kanisani kwa maombi Misri

By Suxiya Chinese language center on 9:00:00 AM
Waumini hao wa kanisa la Coptic walikuwa wanasafiri kwenda kanisa la kale la Mtakatifu Samuel kuomba


Watu takriban 23 wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kufyatulia risasi waumini wa kanisa la Coptic waliokuwa wakisafiri kwa kutumia basi katikati mwa Misri, vyombo vya habari vya serikali ya nchi hiyo vimesema.
Kisa hicho kilitokea katika mkoa wa Minya, takriban kilomita 250 (maili 155) kusini mwa Cairo, basi hilo lilipokuwa linawasafirisha kwenda kanisani.
Kumetokea visa kadha vya waumini wa kanisa la Coptic kushambuliwa, mashambulio ambayo kundi la Islamic State limedai kuhusika.
Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHAURA
        Tunzaji wa kumbukumbu za biashara yako ni muhimu sana kwani mali bila daftari basi hupotea bila habari ...
  • uundaji wa roboti
    Roboti ni mashine inayotekeleza shughuli peke yake bila kuendeshwa na binadamu . Kuna tofauti kati ya nchi na nchi kuhusu kiwango na ugumu...
  • The best hidden features in Windows 10's major update
    Share on Facebook (2,710) Tweet Share Pin Microso...
  • (no title)
    downlod
  • (no title)
    contact us facebook phone no
  • je ya linex imekugusa?
    linex atoa ukweli wake je wewe imekugusa? ddownlod hapa
  • history of sd card
    Secure Digital From Wikipedia, the free encyclopedia "SDHC" redirects here....
  • The History of Computers
    "Who invented the computer?" is not a question with a simple answer. The real answer is that many inventors contributed ...
  • Secure Digital
    "SDHC" redirects here. For the gene, see SDHC (gene) . SD, SDHC, SDXC SD (top), miniSD, microSD cards Media type ...
  • Filamu nyingine ya Avatar kuongezwa
    Filamu ya kwanza ya Avatar ilitolewa 2009 na iliwashirikisha Sam Worthington na Zoe Saldana Watengenezaji wa filamu ya Avatar franch...

Follow Us on Facebook

Blog Archive

  • ▼  2017 (3)
    • ▼  May (3)
      • Wakristo 23 wa kanisa la Coptic wauawa wakienda ka...
      • Trump azuru Israel chini ya ulinzi mkali
      • Rais wa Marekani Donald Trump amesema karibuni...
  • ►  2016 (86)
    • ►  June (2)
    • ►  May (26)
    • ►  April (50)
    • ►  March (8)
  • ►  2015 (22)
    • ►  December (8)
    • ►  November (14)

Followers

 
  • Followers

  • Total Pageviews

    Sparkline
  • Subscribe

  • Labels

    • alishababu
    • bokoharam
    • burudani
    • burundi
    • dira ya dunia
    • elimu
    • HABARI
    • islamik state
    • kimataifa
    • kitaifa
    • MATUKIO
    • mazingira
    • MICHEZO
    • program zote
    • roboti
    • ruanda
    • SIASA
    • TEKNOLOJIA
    • ujasiriamali
    • VIDEO
    • waasi

Copyright © 2012 News Magazine Theme. Designed by Templateism