Roboti la muuguzi
Wimbi la mabadiliko ya kiteknolojia halipingiki na linafaa kuchukuliwa kama jeki ya kiuchumi.
Mitambo ya roboti inaweza kuchukua kazi zote kutoka uuguzi hadi upishi,udereva na kuwaosha wagonjwa wazee.
Roboti inayotengeza Sandiwichi Katika maeneo mengine ya mashambani na majimbo ya Australia zaidi ya asilimia 60 ya kazi zinaweza kupotea kulingana na afisa mkuu wa CEDA Profesa Stephen Martin.
1 comments:
daaa kweli
Post a Comment