Magoli ya coastal yamefungwa na Mchezaji wa Cameroon Youssouf Sabo,huku goli la Simba likifungwa na Mganda Hamisi Kiiza.
Coastal sasa inajumuika na Yanga, Azam FC na Mwadui kwenye Droo ya kupanga Mechi za hatua ya Nusu Fainali itakayofanyika Jumanne .
Mshindi wa Michuano hili ataiwakilisha Tanzania mwaka 2017 katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF)
0 comments:
Post a Comment