• mazingira
  • michezo
  • ujasiriamali
  • dira ya dunia
  • siasa
  • waasi

ict master

  • program zote
  • tekinologia
  • mazingira
  • elim
  • boko haram
  • habari
    • alshababu
    • kimataifa
    • kitaifa
    • burundi
    • rwanda
    • alshababu
  • video

Wednesday, May 18, 2016

Trump: Ninaweza kuzungumza na Kim Jong-un

By Suxiya Chinese language center on 2:27:00 AM
Marekani
Marekani imekuwa ikilitenga taifa la Korea Kaskazini



 
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini kuhusu mpango wa nyuklia wa taifa hilo.
“Ninaweza nikazungumza naye, Siwezi kuwa na tatizo kuzungumza naye,” Bw Trump alisema kuhusu Kim Jong-un.
Mkutano huo ungekuwa tofauti kabisa na msimamo wa muda mrefu wa Marekani kuhusu Korea Kaskazini.
Hatua hiyo imemfanya mgombea anayeongoza katika kinyang’anyiro cha chama cha Democratic Hillary Clinton kumshutumu Bw Trump na kusema anashangaza kwa kuwaenzi sana viongozi wababe wan chi za nje.
Taarifa iliyotolewa na mmoja wa wasaidizi wa Bi Clinton imesema sera ya mambo ya nje ya Bw Trump usio wa maana yoyote.

Newer Post Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA BIASHAURA
        Tunzaji wa kumbukumbu za biashara yako ni muhimu sana kwani mali bila daftari basi hupotea bila habari ...
  • Wa-Mexico wachoma mfano wa 'Trump'
    Wa-Mexico wachoma mfano wa 'Trump' Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kit...
  • history of sd card
    Secure Digital From Wikipedia, the free encyclopedia "SDHC" redirects here....
  • The best hidden features in Windows 10's major update
    Share on Facebook (2,710) Tweet Share Pin Microso...
  • Mwanamke wa Senegal ateuliwa katibu mkuu Fifa
    Add caption Ni mara ya kwanza mwanamke kuteuliwa katibu mkuu Fifa Kwa mara ya kwa...
  • Atolewa kwenye ndege kwa kuongea Kiarabu
    Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa Iraq katika jimbo la California nchini Marekani anasema kuwa alitolewa kutoka kwenye ndege ya shirika ...
  • Trump achekwa kwa alivyotamka Tanzania
    Trump alishambulia sana sera ya kigeni ya Obama Mgombea urais wa chama cha Republi...
  • je ya linex imekugusa?
    linex atoa ukweli wake je wewe imekugusa? ddownlod hapa
  • UN: Rwanda bado inasaidia waasi Burundi
    Add caption Rwanda imekana madai kwamba inasaidia kuhujumu serikali Burundi Ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umo...
  • DIRA YA DUNIA ALHAMISI 28.04.2016
    downlod

Follow Us on Facebook

Blog Archive

  • ►  2017 (3)
    • ►  May (3)
  • ▼  2016 (86)
    • ►  June (2)
    • ▼  May (26)
      • Wahamiaji 700 wafa maji baharini kwa muda wa siku 3
      • "Worlds Brightest" Military Grade Flashlight Now A...
      • The important functions of a supervisor are:
      • Afungwa kwa kutunga shairi kwenye uume wake Myanmar
      • Helikopta na malori ya Urusi yateketea Syria
      • Uganda yailalamikia DRC kwa vifo vya polisi wake
      • Boti iliyopata ajali Ziwa Nyasa yatafutwa
      • Utata wazuka kuhusu msichana wa Chibok
      • Msichana wa Chibok kukutana na Rais Buhari
      • Trump: Ninaweza kuzungumza na Kim Jong-un
      • Kagame akana kuwasaidia waasi Burundi
      • Yajue maudhi kumi (10) YA kompyuta
      • Mwanamke wa Senegal ateuliwa katibu mkuu Fifa
      • Mwanamume 'adandia' helikopta Bungoma Kenya
      • UN: Rwanda bado inasaidia waasi Burundi
      • Korea Kaskazini 'inaihami DR Congo'
      • Roma Mkatoliki - Mtoto wa kigogo 2016
      • Malkia wa Pembe' afikishwa kortini Tanzania
      • Washtakiwa 21 wafungwa jela maisha Burundi
      • Jumba la ghorofa laporomoka Mombasa
      • Magufuli aahidi sukari ya bei ya chini
      • Majibu ya Mr Blue kwa wanaodhani atapotea baada ya...
      • Naibu kamanda wa kundi la mauaji Rwanda akamatwa
      • DIRA YA DUNIA ALHAMISI 05.05.2016
      • DIRA YA DUNIA JUMATATU 02.05.2016
    • ►  April (50)
    • ►  March (8)
  • ►  2015 (22)
    • ►  December (8)
    • ►  November (14)

Followers

 
  • Followers

  • Total Pageviews

    Sparkline
  • Subscribe

  • Labels

    • alishababu
    • bokoharam
    • burudani
    • burundi
    • dira ya dunia
    • elimu
    • HABARI
    • islamik state
    • kimataifa
    • kitaifa
    • MATUKIO
    • mazingira
    • MICHEZO
    • program zote
    • roboti
    • ruanda
    • SIASA
    • TEKNOLOJIA
    • ujasiriamali
    • VIDEO
    • waasi

Copyright © 2012 News Magazine Theme. Designed by Templateism