Ripoti ya siri ya wataalamu wa Umoja wa mataifa ilioonekana a shirika la habari la Reuters inaarifu kuwa maafisa kadhaa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamesema kuwa Korea kasakzini imewapatia wanajeshi na polisi bastola. Wataalamu hao wanasema wamegundua kumaafisa kadhaa wa jeshi Congo pamoja na maafisa wa polisi waiotumwa ng'ambo kama ujumbe wa Umoja wa mataifa, wanaonekana kuwa na bastola hizo za Korea kaskazini
0 comments:
Post a Comment